![]() |
| Yusuf Bana (Kushoto) Muhidin Cheupe (Kati) na Zamoyoni Mogella (Kulia) |
Kwa wale wadau wa soka nchini watamkumbuka sana mchezaji Zamoyoni Mogella mchezaji mkali sana ambae alisumbua sana kwa chenga zake mahiri na uwezo wa juu wa kushamtubulia na kupachika mabao....Hiyo picha hapo juu inamuonyesha Mogella akikabiliwa na wachezaji wawili Yusuf Bana na Muhidin Cheupe...Envi hizo Yanga wanajezi za Bobby Soap...Mdau Godfrey (Bitozz wa Mbeya) lazima akilkuwa kwenye mechi hiyo kwani yeye ni mdu mkubwa sana wa Yanga....Kwa wenye kumbukumbu zaidi hebu tusaidie na data zaidi....


0 Yorumlar